Results 191 to 200 of about 1,789 (213)

Tafsiri Sisisi na Athari zake katika Mawasiliano

open access: yesKioo cha Lugha, 2013
Lugha ni chombo muhimu cha mawasiliano katika jamii. Katika mawasiliano andishi, matumizi ya lugha hustahili kuwa wazi na yasiyokanganya kwa kuwa mwandishi hana fursa ya kuufafanua ujumbe nuiwa kama vile inavyotokea katika mawasiliano zungumzi.
Omari, OJ
openaire   +3 more sources

Athari Na Dhima Ya Vijenzi Nomino Katika Vitenzi Vya Kiswahili

open access: yesKiswahili, 2012
Unyambulishi ni mchakato wa uundaji wa maneno kwa kutumia vijenzi au vinyambulishi mbalimbali. Katika mchakato huu wakati mwingine neno huhama kutoka kategoria yake na kuingia katika kategoria nyingine. Mathalani, kivumishi kinaweza kubadilika na kuwa kitenzi au kitenzi kuhama kategoria yake na kuwa nomino.
Malangwa, P
openaire   +3 more sources

Athari za Ubadilishaji Msimbo Kanisani kwa Wasikilizaji: Mifano Kutoka katika Mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai

open access: yesEast African Journal of Swahili Studies
Utafiti huu ulihusu athari za ubadilishaji msimbo kanisani kwa kuchunguza mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai. Lengo la utafiti lilikuwa kubainisha athari za ubadilishaji msimbo kwa wasikilizaji wa mahubiri ya Mchungaji Wilbroad Mastai. Data za utafiti
Mwampamba, Amulike Abraham
exaly   +3 more sources
Some of the next articles are maybe not open access.

Related searches:

Athari ya Muktadha katika Utunzi wa Kazi za Mathias Mnyampala

Jarida la Kiswahili, 2022
Makala hii inakusudia kuchunguza athari ya muktadha katika utunzi wa kazi za Mathias Mnyampala. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna kazi ya fasihi inayoibuka katika ombwe. Kwa kawaida kazi mbalimbali hutungwa kwa kuzingatia miktadha anuwai kama vile wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kijiografia.
openaire   +2 more sources

Athari za Uhamishaji wa Sauti Za Kirombo katika Ujifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Pili

open access: yesEast African Journal of Swahili Studies
Suala la athari za L1 katika ujifunzaji wa Kiswahili kama L2 limewavuta wataalamu wengi. Lugha ya Kiswahili hutumika sanjari na lugha za kijamii. Lugha ya kijamii huzungumzwa katika jamii inayohusika na huwa na wazungumzaji wa lugha hiyo kwa eneo zima ...
Mramba, Peter T.
exaly   +3 more sources

Athari za Mabadiliko ya Majina ya Vituo vya Mabasi katika Mkoa wa Kigoma

open access: yesEast African Journal of Swahili Studies
Utafiti huu ulihusu athari za mabadiliko ya majina ya vituo vya mabasi katika mkoa wa Kigoma. Uchunguzi huo uliongozwa na malengo mawili. Lengo la kwanza lilikuwa kubainisha sababu za mabadiliko ya majina ya vituo vya mabasi katika mkoa wa Kigoma.
Yohana, Medani   +1 more
exaly   +3 more sources

Athari ya Uhawilishaji wa Viwakilishi vya Jinsia kwa Ujumbe wa Lugha Chanzi; Tafsiri Kutoka Kiswahili Kwenda Kiingereza

open access: yesEast African Journal of Swahili Studies
Suala la athari katika uhawilishaji wa  kwenye ujumbe wa lugha chanzi katika tafsiri si geni. Tafiti nyingi zimelishughulikia suala hili lakini tafiti hizo zimeegemea sana katika athari ya uhawilishaji wa ujumbe kutoka lugha ya Kiingereza kwenda ...
Mbithi, Mutisya Cosmas   +2 more
exaly   +3 more sources

Tathmini ya Athari ya Utabaka na Ukengeushi Katika Tamthilia ya Kigogo

open access: yesEast African Journal of Swahili Studies
Utabaka ni hali ya kuwagawanya watu kwa misingi ya uwezo wao wa kumiliki wa mali ilhali ukengeushi ni hali ya kumfanya mtu afuate njia ambayo si nzuri kwa kumlaghai. Hali hii husababisha migogoro miongoni mwa wahusika.
Wendo, Nabea   +2 more
exaly   +3 more sources

Athari za Kifonolojia za Lugha ya Kwanza katika Kiswahili Sanifu: Mifano Kutoka Lugha ya Kigogo Nchini Tanzania

open access: yesEast African Journal of Swahili Studies
Mwandamu ni kiumbe pekee aliyejaliwa kuwa na uwezo wa kutumia lugha katika mawasiliano yake. Tanzania inakadiriwa kuwa na zaidi ya lugha 120 zinazozungumzwa.
Labiswai, Marko Lohay, Hamad, Salma
exaly   +3 more sources

Athari za Matumizi ya Lugha-tandawazi katika Uandishi wa Kitaaluma: Mifano Kutoka Matini za Kiswahili za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Tanzania

open access: yesEast African Journal of Swahili Studies
Katika karne ya 21 ukuaji wa utandawazi unaongezeka kwa kasi kubwa sana. Dalili mojawapo ni ongezeko la matumizi ya simu za kiganjani ambayo huhusisha makundi rika yote.
Mramba, Peter T.
exaly   +3 more sources

Home - About - Disclaimer - Privacy