Results 71 to 80 of about 1,789 (213)
Athari ya Kubadili Msimbo katika Mawasiliano
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughaingawaje jamii nyingi sasa zimeingia katika eneo la matumizi ya lugha kwa sababu mbali mbali.
Kassim,, Shaaban Juma
core
Athari Ya Maumbo Ya Lugha Ya Kiswahili Katika Msamia Ti Wa Lugha Ya Lufumbira.
Uchunguzi huu ulihusu athari za maumbo ya lugha ya Kiswahili kwa msamiati wa Lufumbila nchini Uganda tukilenga wilaya ya Kisoro. Uliendeana na maakisio ya malengo mawili muhimu yaliyoungoza tangu mwanzo hadi mwisho. Lengo kuu la uchunguzi huu lilikuwa ni
Sunday, Emmanuel
core
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee ya uandishi ambayo watu wasioona hutumia katika mawasiliano na usomi wao. Vilevile, kutokuwepo kwa kipengele muhimu cha matamshi katika kamusi za breili na vitabu vya sarufi
openaire +1 more source
Athari za Kikurya Katika Ujifunzaji wa Kiswahili Sanifu Miongoni mwa Wakurya [PDF]
Utafiti huu ulihusu athari za Kikurya katika ujifunzaji wa Kiswahili Sanifu miongoni mwa Wakurya. Uliongozwa na malengo makuu mawili. Lengo la kwanza lilikuwa ni kuonesha jinsi gani maneno ya lugha ya Kikurya yanaathiri ujifunzaji wa Kiswahili Sanifu. Na,
Gekondo, Janeth Maheri
core
Mbinu, Dhima na Athari za Kumuanika Nje Mfiwa katika Utendaji wa Utani wa Wahehe
Utani ni kipera cha mazungumzo/nyambi katika fasihi simulizi chenye dhima mbalimbali kwa jamii husika. Lengo la makala hii ni kuchunguza mbinu, dhima na athari za kumuanika nje mfiwa katika utendaji wa utani wa Wahehe. Maswali tunayojibu ni: Je, ni utani
Asifiwe, Asifiwe, Lyimo, Edith B.
core
Athari ya Maneno ya Mkopo ya Kiingereza katika Fonolojia ya Kihehe
Makala hii inachunguza athari za maneno ya mkopo ya Kiingereza katika fonolojia ya Kihehe. Fonolojia ya Kihehe inaonesha ongezeko la idadi ya fonimu na miundo ya silabi tangu ilipoanza kupokea maneno ya mkopo kutoka lugha mbalimbali za kigeni ikiwemo ...
Haonga, Ernest Daimon
core
Modal Politik Dan Modal Sosial Athari Gauthi Ardi Pada Pemilihan Umum Legislatif Tahun 2019 Di Provinsi Sumatera Barat [PDF]
Pemilihan umum legislatif yang dilaksanakan oleh pemerintah Indonesia dapat dimaknai sebagai pilihan yang baik untuk mempertahankan dan memperkuat sistem demokrasi dengan sistem pemilihan umum ini membuat timbulnya pertarungan politik antar calon yang ...
Reninta, Ananda
core
Makala hii imechunguza uhawilishaji wa fonimu za Kihehe na athari zake katika ujifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama lugha ya pili (L2). Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji lugha jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao.
Ngenzi, Mwaija
core
Contact with mentally ill people Does it effect nurses’ attitude toward mental illness?
B a c kgro u n d: Contact theory has been mentioned for years. Can it effect peoples' attitude a question to be answered. Objective: To determine nurses' attitude toward mental illness with different levels of contact with mentally ill people.
Khaleghparast Athari Sh.
doaj
The Narrative of Governance in Ayatollah Khamenei’s Political Thought [PDF]
The present study aims to trace Ayatollah Khamenei’s perspective on governance, covering the purpose of government, the identity of the ruler, the limitations on exercising power, and the right to protest against authority, using John Marrow’s teleology ...
Hossein Athari +2 more
doaj +1 more source

