Results 51 to 60 of about 534 (132)

Mchango wa Tafsiri za J.K. Nyerere katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili

open access: yes, 2023
Makala hii inatathmini mchango wa tafsiri za J.K. Nyerere katika maendeleo ya fasihi ya Kiswahili ili kuona ni kwa kiasi gani kazi zake za tafsiri zimeweza kukuza na kuendeleza fasihi ya Kiswahili.
Jilala, Hadija
core  

Al-Sukākī’s Classification of Metaphor and Qur'ānic Discourse

open access: yesالإيضاح, 2017
The present study is divided into two main sections; the first section will give a general overview about the figurative language and more focus on metaphor (istiᶜārah in Arabic) because the metaphor is considered as one of the most literary devices and ...
Musferah Mehfooz
doaj  

The Exegetical Bases and Methods and Its Role in the Explanation of the Concept of Tawhid [PDF]

open access: yesآموزه‌های قرآنی, 2019
The Holy Quran from the view of all Islamic schools has been propounded as the foundation of the affirmation of the Islamic theological and ideological beliefs. With the pivot of Tawhid (oneness of God) as the most important fact presented in the Islamic
Hamid Imandar, Hamed Mustafavi Fard
doaj  

Tathmini ya Mikakati ya Tafsiri ya \u27Vinay na Derbelnet\u27 (2004) katika Tafsiri ya \u27A Good Day\u27 (2019)

open access: yes, 2019
Uteuzi wa mikakati ya tafsiri katika mchakato wa tafsiri, ni suala muhimu katika Nadharia ya Tafsiri. Lengo la makala haya ni kutathmini mikakati ya tafsiri iliyotumiwa katika kutafsiri ya riwaya ya Kiswahili Siku Njema iliyotafsiriwa kwenda Kiingereza ...
Kandagor, Mosol   +2 more
core  

Beyzavinin “Ənvar ət-tənzil və əsrar ət-təvil” əsərində bəzi ehkam ayələrinin təfsir metodu (Təmizlik və ibadət kontekstində)

open access: yesDin Araşdırmaları Jurnalı
Nasirəddin Əbu Səid Abdullah ibn Ömər ibn Məhəmməd əl-Bey­za­vi­nin məşhur təfsir əsəri olan “Ənvar ət-tənzil və əsrar ət-təvil”  yazı üs­lu­bu baxımından ecazkarlıq nümunələrindən hesab edilir.
Ənvər Mustafayev
doaj   +1 more source

Tafsiri Tenge katika Matini Zilizotafsiriwa kwa Tafsiri-Mashine: Uchanganuzi wa Matini za Kiingereza-Kiswahili

open access: yes, 2019
Makala haya yanachunguza mchakato wa kutafsiri kwa Tafsiri-Mashine. Tafsiri- Mashine baina ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumiwa na wasomi, wafasiri, watalii, watafiti na wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni au ya pili.
Ngesu, Sarah
core  

Uzalishaji wa Tafsiri Sadifu katika Matini za Majukwaa ya Kidijiti: Harakati na Changamoto

open access: yes, 2022
Makala hii inaangazia harakati na changamoto katika kuzalisha tafsiri sadifu katika majukwaa ya kijiditi. Makala inaangazia matini zilizotafsiriwa kutoka lugha chanzi ya Kiingereza kwenda lugha lengwa ya Kiswahili.
Nyandiba, Carren, Odawo, Mark
core  

Khoja Muhammad Porso a Comprehensive Scientist and his Work “Tafsiri Qur’on”

open access: yes, 2020
This article covers the life of Khoja Muhammad Porso, a prominent member of the Khojagan Naqshbandi sect, and the history of his “Tafsiri Karan” and its preservation in world libraries.
Fayzullaev, F. E.
core   +1 more source

Tafsiri ya Majina Maalumu ya Kibantu: Umuhimu na Changamoto

open access: yesMkwawa Journal of Education and Development, 2017
Katika mchakato wa kufanya tafsiri ya matini kutoka lugha chanzi kwenda lugha lengwa, mara nyingi majina maalumu hayatafsiriwi. Makala haya ya uchokozi yanajaribu kufafanua kuwa majina mengi ya Wabantu, ya mahali, na ya vitu mbalimbali yana maana maalumu kama vile kuonesha tabia au hali ya mtu, kuonesha tabia au hali ya watu wa ukoo fulani au watu wa ...
openaire   +1 more source

Matatizo ya Tafsiri katika Kazi za Fasihi: Tajriba Yangu Kutokana na Tafsiri ya \u27Othello-Tanzia ya Mtu Mweusi\u27

open access: yes, 2017
Tamthilia ya Othello ni moja katika tamthilia pendwa za mwandishi maarufu wa Kimagharibi William Shakespeare. Othello ni moja katika tamthilia chache za Shakespeare zilizotafsiriwa kwa Kiswahili.
Mukhwana, Ayub
core  

Home - About - Disclaimer - Privacy