Results 1 to 10 of about 287 (101)
Tafsiri au Uandishi Mpya: Uchambuzi wa Tamthiliya ya Kinjeketile
Tafsiri hujishughulisha na usafirishaji wa ujumbe ulio katika maandishi kutoka lugha asilia kwenda lugha pokezi ambao hufanywa na mwandishi mwenyewe au mtaalamu mwingine.
Hilda Pembe, Chipanda Simon
doaj +4 more sources
Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri
Makala haya yanahusu Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri. Inafahamika kuwa chimbuko la nadharia za tafsiri zilizopo ni nchi za Kimagharibi.
Hadija Jilala
doaj +4 more sources
Tafsiri ni mchakato wa kuhawilisha mawazo au ujumbe ulio katika lugha ya maandishi kutoka lugha chanzi kwenda katika lugha lengwa. Taaluma ya tafsiri inatumika kama nyenzo ya kueneza utamaduni, maarifa mapya, ujuzi, na uzoefu kutoka kwa jamii moja ...
Nyatichi Makini +2 more
doaj +4 more sources
Correction to: CRISPR-Cas, a robust gene-editing technology in the era of modern cancer immunotherapy [PDF]
An amendment to this paper has been published and can be accessed via the original article.
Seyed Mohammad Miri +3 more
doaj +2 more sources
CRISPR-Cas, a robust gene-editing technology in the era of modern cancer immunotherapy [PDF]
Cancer immunotherapy has been emerged as a promising strategy for treatment of a broad spectrum of malignancies ranging from hematological to solid tumors. One of the principal approaches of cancer immunotherapy is transfer of natural or engineered tumor-
Seyed Mohammad Miri +3 more
doaj +2 more sources
Makala hii imeangazia jinsi vipengele vya jazanda na majazi vimetumika katika riwaya ya Ngũgĩ wa Thiong’o ya Caitaani Mutharaba-ini iliyoandikwa awali katika lugha ya Kikuyu na baadaye kutafsiriwa kwa Kiswahili na Kiingereza na mwandishi mwenyewe. Caitaani Mutharaba-ini, Shetani Msalabani na Devil on The Cross ziliteuliwa kimakusudi kwa kuzingatia ...
Magugu V. Njeru; Robert W. Oduori; Mark M. Kandagor
openaire +2 more sources
Makala haya yametathmini ukubalifu wa tafsiri za kitamaduni kwa kujiegemeza katika mswada wa tafsiri ya Filamu ya Yesu kutoka Kiingereza kwenda Kinyaturu. Utafiti uliozaa makala haya yameongozwa na Nadharia ya Skopos ya Hans J. Vermeer (1978) ambayo inazingatia lengo la kutafsiri matini lengwa.
Rehema Stephano
openaire +3 more sources
Makala hii inachunguza mkakati wa tafsiri mkopo wa istilahi za Kiingereza katika Kiswahili na athari zake kwa kuangazia uga wa biolojia, fizikia na kemia kupitia vidahizo teule vya Kamusi ya Biolojia, Fizikia na kemia (2012).
Editha Adolph, Simon Chipanda
doaj +2 more sources
Kutathmini Mafunzo Tafsiri katika Matini za Kidini: Mfano wa Njia Salama
Tafsiri imekuwa njia ya kuhamisha maarifa na ujumbe kutoka lugha moja hadi nyingine kwa muda mrefu lakini imetambuliwa kama taaluma ya kiusomi siyo miaka mingi iliyopita (Munday, 2001). Tafsiri zilizopo zimefanywa kwa kuzingatia mtazamo wa ulinganifu wa visawe vya lugha chanzi na lugha pokezi bila kuhusisha dhana ya uelewaji na ufasiri wa hadhira ...
Nyabunga, Vince Arasa +2 more
openaire +3 more sources
Molecular identification of Palearctic members of
Background Members of Anopheles maculipennis complex are effective malaria vectors in Europe and the Caspian Sea region in northern Iran, where malaria has been re-introduced since 1994.
Romi Roberto +5 more
doaj +2 more sources

