Results 11 to 20 of about 534 (132)
Tathmini ya Mchango wa Tafsiri Katika Maendeleo ya Fasihi Linganishi
Makala hii inatathmini mchango wa tafsiri katika maendeleo ya fasihi linganishi. Tafsiri ni daraja la mawasiliano na utangamano wa jamii zinazozungumza lugha tofauti na zenye tamaduni tofauti. Tangu awali, kazi za fasihi za lugha mbalimbali zilitafsiriwa kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine.
H. Jilala
semanticscholar +4 more sources
Kiswahili katika TEHAMA: Tafsiri kama Daraja la Upatikanaji wa Maarifa
Katika enzi ya kidijitali, tafsiri ya Kiswahili inachukua nafasi muhimu katika kuwezesha upatikanaji wa maarifa kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Makala hii inajadili jinsi tafsiri ya Kiswahili inavyotumika kama daraja kati ya watumiaji na maarifa ya kidijitali, kwa kutumia Nadharia ya Ufikiaji wa Maarifa na Nadharia ya Mawasiliano ...
Raphael Mwaura Gacheiya
semanticscholar +4 more sources
Mtunzi kama Mtafsiri Anayeingilia Kati ya Tafsiri: Kifo Kisimani (1999) na Natala (2005)
Utafiti huu unalenga kuchunguza kwa kina nafasi na athari za mwandishi anaposhiriki moja kwa moja katika mchakato wa kutafsiri kazi yake ya kifasihi, kwa kuzingatia tamthilia mbili mashuhuri za Kiswahili, Kifo Kisimani (1999) na Natala (2005) zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia.
Richard Wafula Makhanu, Tabitha Manzi
semanticscholar +4 more sources
Mikakati ya Kutafsiri na Kufasiri Matini za Kidini: Mfano wa Matini Tafsiri za White
Makala haya yanachunguza mikakati ya kutafsiri na kufasiri matini za kidini kwa kuzingatia mfano wa tafsiri za Ellen G. White. Utafiti ulisisitiza umuhimu wa mikakati ya tafsiri kama nyenzo za kutatua changamoto za lugha na maana kati ya lugha chanzi (MA) na lugha pokezi (MP).
Vince Arasa Nyabunga
semanticscholar +4 more sources
Asbab Al-Ikhtilaf Fi Tafsiri Al-Salaf: Memahami Sebab-Sebab Perbedaan Penafsiran di Kalangan Ulama Salaf [PDF]
Tulisan ini bertujuan untuk memetakan sebab-sebab perbedaan yang terjadi pada tafsir salaf atau asbab ikhtilaf fi tafsiri i salaf. Metode yang digunakan dalam penelitian ini adalah library research atau studi pustaka. Hasil studi menunjukan bahwa perbedaan tafsir di kalangan ulama salaf secara garis besar terbagi menjadi dua, yaitu pemahaman di ...
Annisa Nurfauziah
semanticscholar +4 more sources
Utafiti huu umechunguza namna utamaduni unavyoathiri ukalimani na tafsiri katika mahakama ya kaunti ya Vihiga, ikizingatiwa kuwa kaunti hii imesheheni wingi wa lugha na mbari mbalimbali za Waluhya, hivyo, kuwepo kwa hitaji la ukalimani na tafsiri katika uendeshaji wa kesi mbalimbali mahakamani. Lahaja za Kitiriki na Kimaragoli zina utamaduni wao katika
Malenya Mary +2 more
semanticscholar +4 more sources
Makala haya yalitathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika vitabu vya kidini: Njia Salama (1977), Walioteuliwa (2009) na Vita Kuu (1952), (White).
Vince Arasa Nyabunga +2 more
semanticscholar +3 more sources
Tracking gas migration using reservoir PVT data as reality check for migration models [PDF]
Tracking gas migration geochemically is more challenging than tracking oil migration due to the deficiency in biomarkers and migration tracers, traditionally restricting gas tracking to isotope fingerprinting.
Khaled R. Arouri +5 more
doaj +2 more sources
urdu The Sheikhs of Imam Ibn Abi Hatim in Tafsiri Traditions: An Introductory Study
Abstract: When the Quran was reveled upon the Holy Prophet (S.A.W), the companion of the Holy Prophet (S.A.W) focused to serve it from various aspects. Some of them were known for expertise of its words while other was for its meanings and interpretation.
Dr. Shams ul Haq Zaheer +2 more
openaire +2 more sources
KH. Bisri Musthofa (1915-1977 CE) was a prolific Islamic scholar known for his writings and active involvement in various organizations. Many scholars have conducted research on his Tafsir Al-Ibr?z due to its uniqueness. In this study, KH.
Farida Nur Afifah +1 more
doaj +2 more sources

