Results 101 to 110 of about 534 (132)
Pesan dan tuntunan-tuntunan bagi manusia disampaikan secara langsung menggunakan teks perintah dan larangan. Namun, adakalanya pesan dan tuntunan disampaikan secara tidak langsung melalui teks atau ayat kisah. Ayat kisah perlu dipahami dengan menggunakan
Rosyada Al Fuada, NIM.: 17105030082
core
Changamoto katika Kutafsiri Matini za Kisayansi
Makala haya yanajadili kuhusu changamoto zinazojitokeza wakati wa kutafsiri matini za kisayansi na mbinu za kukabiliana na changamoto hizo. Tafsiri ya matini za kisayansi, kwa mujibu wa Ghazala (1995), inahusu kufasiri maneno, hasa katika uga wa sayansi ...
Sarah Vincent
core
Katika taaluma ya tafsiri, uvulivuli wa matini zilizotafsiriwa umejikita zaidi kwenye tafsiri za lugha za kigeni kwenda lugha za asili au lugha za asili kwenda lugha za kigeni.
Msigwa, Arnold B. G.
core
Dhima ya Tafsiri katika Kuleta Umoja, Uwiano, Amani na Maendeleo nchini Kenya
Fujo, vita na uhasama uliibuka nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007. Huenda kuna sababu nyingi zilizochangia vurugu hizi, lakini inaaminika kwamba, mojawapo ya sababu hizi ni ukabila. Jambo moja linalodhihirisha makabila ni lugha. Makabila tofauti huongea lugha tofauti.
Ryanga, Sheila, Ngowa, Nancy J.
semanticscholar +4 more sources
Some of the next articles are maybe not open access.
Related searches:
Related searches:
Mawanda ya taaluma za ukalimani na tafsiri na haja ya kuboresha ufundishaji wake
Kioo cha Lugha, 2023Umuhimu wa ukalimani na tafsiri umeongezeka kutokana na utandawazi. Wakalimani na wafasiri wengi wamekuwa wakiandaliwa ili kuendana na kasi ya ongezeko la mahitaji ya wakalimani na wafasiri. Kutokana na kasi ya ongezeko hili, na uhaba au ukosefu wa walimu wabobevu wa ukalimani na tafsiri, walimu wa lugha ambao tafsiri na ukalimani si nyuga zao za ...
Titus Mpemba
openaire +3 more sources
Tafsiri ya Lugha ya Ishara katika Wema Hawajazaliwa: Mtazamo wa Ulinganifu wa Kimawasiliano
Kioo cha Lugha, 2023Tafsiri ni taaluma kongwe ambayo imekuwa ikifanyika katika nyuga mbalimbali kama vile sheria, utabibu na lugha. Tafiti nyingi zimekitwa katika matatizo ya tafsiri kwa ujumla. Wataalamu wa tafsiri, hususani za kifasihi kama vile Mkinga (2005), Malangwa (2010) na Mekacha (2013), wametafiti kuhusu mbinu na matatizo ya kutafsiri matini za kifasihi. Data za
Birigitha N. John
openaire +3 more sources
Suala la athari katika uhawilishaji wa kwenye ujumbe wa lugha chanzi katika tafsiri si geni. Tafiti nyingi zimelishughulikia suala hili lakini tafiti hizo zimeegemea sana katika athari ya uhawilishaji wa ujumbe kutoka lugha ya Kiingereza kwenda ...
Mutisya Cosmas Mbithi +2 more
semanticscholar +3 more sources
TAFSIRI YA MAJINA YA PEKEE – UCHUNGUZI KIFANI WA MAJINA YA NCHI
Eastern African Literary and Cultural Studies, 2014IKISIRINomino au majina ya pekee ni mojawapo ya maswala muhimu anayokumbana nayo mtafsiri katika mchakato wa tafsiri yoyote iwayo.
Nahashon A. Nyangeri, Rachel Wangari
semanticscholar +3 more sources

