Results 111 to 120 of about 534 (132)

Mbinu Mbalimbali za Kutathmini Tafsiri

open access: yesKioo cha Lugha, 2013
Makala haya yanajadili mbinu mbalimbali za kutathmini tafsiri katika muktadha wa tafsiri za Kiswahili na lugha nyingine za Tanzania. Madai makuu ya makala haya ni kwamba tafsiri hufanyiwa tathmini katika hatua zake mbalimbali. Tathmini katika tafsiri1 inaweza kufanyika mwanzo (yaani, kabla ya kuanza kutafsiri), katikati ya mchakato wa kutafsiri na ...
Malangwa, PS
openaire   +3 more sources

Tafsiri ya Mazungumzo Katika Filamu za Kiswahili

open access: yesHuria: Journal of the Open University of Tanzania, 2017
Taaluma ya tafsiri huingiliana na nyanja nyingine za kitaaluma kutokana na kujishughulisha kwake katika mawasiliano. Makala haya yanachunguza tafsiri ya mazungumzo ya Kiingereza katika filamu za Kiswahili nchini Tanzania. Filamu zilizoteuliwa katika uchunguzi ni ile ya Vita Baridi na Love & Power.
Pembe, H
openaire   +4 more sources

MCHANGO WA MWALIMU J.K. NYERERE KATIKA TAFSIRI NA MAENDELEO YA LUGHA

open access: yesKioo cha Lugha, 2011
Kwa kuzingatia tafsiri mbili za J.K. Nyerere, Julius Kaizer (1963) na Mabepari wa Venus (1969), makala inaeleza: (i) kwa nini Mwalimu Nyerere alitafsiri maandishi ya Shakespeare, (ii) ufanisi wa tafsiri zake, na (iii) mchango wa tafsiri hizo. Makala inaonyesha kuwa tafsiri hizo zinazingatia mbinu za kisemantiki zaidi kuliko mbinu nyingine ingawa ...
Mwansoko, H.J.M, H.J.M Mwansoko
openaire   +3 more sources

Tafsiri Sisisi na Athari zake katika Mawasiliano

open access: yesKioo cha Lugha, 2013
Lugha ni chombo muhimu cha mawasiliano katika jamii. Katika mawasiliano andishi, matumizi ya lugha hustahili kuwa wazi na yasiyokanganya kwa kuwa mwandishi hana fursa ya kuufafanua ujumbe nuiwa kama vile inavyotokea katika mawasiliano zungumzi.
Omari, OJ
openaire   +3 more sources

Matatizo ya Tafsiri katika Matini za Kitalii Nchini Tanzania

open access: yesKioo cha Lugha, 2017
Utalii ni miongoni mwa sekta muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ni sekta ambayo huliingizia taifa pato la kiuchumi. Sekta hii huhusisha watu wa jamii mbalimbali duniani, watu wenye tofauti za kiutamaduni, kiuchumi, kiitikadi, kijamii na wanaozungumza lugha tofauti.
Jilala, Hadija
openaire   +3 more sources

Tathmini ya Hatua za Tafsiri kama Nyenzo ya Ufanisi wa Mawasiliano

open access: yesKiswahili, 2017
Makala haya yanahusu tathmini ya hatua za tafsiri kama nyenzo ya ufanisi wa mawasiliano. Ufanisi wa mawasiliano hutegemea uzalishaji wa tafsiri bora na sadifu yenye ushikamani wa maana na ujumbe wa matini chanzi katika matini lengwa. Makala haya yanajadili kwamba, endapo mfasiri hatafuata hatua thabiti za tafsiri anaweza kuzalisha tafsiri iliyokengeuka
Jilala, Hadija
openaire   +3 more sources

Makosa ya Kiamali katika Kutafsiri Vihisishi: Mifano ya Tafsiri kutoka Kinjeketile (1969) na Amezidi (1995)

open access: yesKioo cha Lugha, 2019
Makosa kuhusiana na tafsiri ya vihisishi aghalabu huwa ni ya kiamali zaidi kuliko kuwa ya kiisimu. Kwa hiyo, mfasiri hana budi kuhakikisha kuwa makosa ya aina hii hayajitokezi kwenye matini lengwa (ML), kwa kuwa hadhira lengwa (HL) huenda ikapata habari za kupotosha.
Nyangeri, Nahashon A.
openaire   +3 more sources

Tafsiri za Riwaya za Kigeni kwa Kiswahili nchini Tanzania

open access: yes, 2017
Makala hii inazingatia tafsiri ya kifasihi nchini Tanzania enzi za baada ya kujipatia uhuru. Inaeleza baadhi ya mbinu zilizotumiwa na wafasiri wa Kiswahili wakati wakishughulika na kazi za fasihi ya kigeni, hususani jinsi ya kukabiliana na vipengele vya ...
Flavia Aiello Traore
semanticscholar   +2 more sources
Some of the next articles are maybe not open access.

Related searches:

Asbāb Al-Ikhtilāf Fī Tafsīri I Al-Salaf: Understanding the Reasons for Differences in Interpretation Among the Salaf Scholars

Mashadiruna Jurnal Ilmu Al-Qur’an dan Tafsir, 2023
This writing aims to understand the definition of ushul al-tafsir, tafsir, reference books of tafsir, its history, the legal aspects of studying tafsir, and its divisions.
Anisa Nurfauziah
semanticscholar   +1 more source

Tafsiri kama Nyenzo ya Kutandawaza Utamaduni wa Mswahili: Mfano wa Siku Njema (1996) na A Good Day (2019)

Jarida la Kiswahili, 2022
Lengo la makala hii ni kujadili mchango wa tafsiri katika kutandawaza utamaduni wa Mswahili kwa kuangazia riwaya ya A Good Day (Walibora, 2019) kama tafsiri ya riwaya ya Siku Njema (Walibora, 1996) iliyotafsiriwa na Dorothy Kweyu na Fortunatus Kawegere ...
S. Ngesu, G. Mrikaria
semanticscholar   +1 more source

Home - About - Disclaimer - Privacy