Results 161 to 170 of about 74,654 (179)
Some of the next articles are maybe not open access.

Mantiki katika miiko ya mfumo-mlo ya jamii ya Wandendeule

Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA), 2021
Makala hii inajadili miiko inayohusiana na mfumo-mlo katika jamii ya Wandendeule. Shabaha kuu ni kubainisha mantiki (kama kipengele kimojawapo cha falsafa) iliyomo ndani ya miiko. Swali kuu lililoongoza uchunguzi na mjadala wa kwenye makala hii ni: miiko kama kipengele cha kiutamaduni ina mantiki gani katika maisha ya wanajamii husika?
openaire   +1 more source

Picha ya anga ya Afrika

Katika miaka ya hivi karibuni, sekta ya anga ya Afrika imekumbwa na upanuzi wa kutatiza, hatua kwa hatua ikijidhihirisha kama mchezaji wa kimkakati katika jukwaa la dunia. Kufikia katikati ya 2024, Afrika sasa ina satelaiti 61 katika obiti kati ya 13,605, ikiwa na lengo kubwa la satelaiti mpya 125 ifikapo 2025. Afrika Kusini (satelaiti 13) ilikuwa nchi
openaire   +1 more source

Uhakiki wa Kimwingilianomatini katika Fasihi ya Watoto: Mambo ya Msingi ya Kuzingatia

MULIKA
Kazi za fasihi ya watoto kama zilivyo kazi nyingine za fasihi ya Kiswahili zina mwingiliano wa matini wa kiwango cha juu. Hii ina maana kwamba, Nadharia ya Mwingilianomatini iliyoasisiwa na Julia Kristeva, ambayo hutumika kuhakiki kazi za fasihi ya watu wazima, hutumika pia kuhakiki kazi za fasihi ya watoto.
openaire   +2 more sources

Mchango wa Mikakati ya Upole Katika Mazungumzo ya ibada ya Mazishi katika Lugha ya Kikabrasi

Editon Consortium Journal of Kiswahili
Swahili Suala la upole limetafitiwa na wasomi wengi kwenye mawasiliano, ikiwemo mazungumzo ya abiria na wahudumu wa magari ya uchukuzi kwa lugha ya Kikamba. Hata hivyo, utafiti huu haukuweka wazi udhihirikaji na matumizi ya mikakati ya upole katika muktadha wa ibada ya mazishi katika lugha ya Kikabrasi na umuhimu wake kwenye mawasiliano.
openaire   +1 more source

Ya Müdahale, ya da Müdahale

1970’lerin büyük ekonomik sarsıntılarının öğrettiği bir ders vardı. Bu dersi,ekonomi politikasını belirlerken ince ayar yapma derdine düşme, politikanı mümkün olduğunca öngörülebilir kıl, böylece ekonomik aktörlerin beklentilerini oluşturmalarına ve planlama yapmalarına engel çıkarma şeklinde özetleyebiliriz.
openaire   +1 more source

Home - About - Disclaimer - Privacy