Results 91 to 100 of about 11,620 (230)

Muundo na matumizi ya umiliki siachanifu kwa Kiswahili sanifu

open access: yes, 2010
Katika Kiswahili sanifu inawezekana kuzungumza kuhusu kiumbe hai, mwili wake na hisia zake kwa njia mbalimbali. Njia iliyotumiwa kuliko zote ni umiliki siachanifu kwa sababu mwili na sehemu zake ni kitu kimoja.
Odile Racine-Isa, Racine-Isa, Odile
core   +1 more source

Umuhimu na Changamoto za TEHAMA katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili kwa Wageni

open access: yes, 2022
Ulimwengu wa utandawazi umesababisha kusambaa kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), hususani matumizi ya kompyuta na viambata vyake.
Msigwa, Arnold B. G., Vicent, Sarah
core  

Focus in Gur and Kwa

open access: yes, 2009
The project investigates focus phenomena in the two genetically relatedWest African Gur and Kwa language groups of the Niger-Congo phylum. Most of its members are tone languages, they are similar with respect to word order typology (all are SVO languages)
Fiedler, Ines   +2 more
core  

Uchanganuzi wa Mofu katika Kauli Mbalimbali za Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi moja: Lahaja ya Ginantuzu

open access: yesJournal of Kiswahili and Other African Languages
Suala la mfuatano wa mofu katika kauli za vitenzi limewavuta wanaisimu wengi. Hata hivyo, hakuna utafiti ambao umefanyika katika Kisukuma lahaja ya Ginantuzu kuhusu mfuatano wa mofu katika kauli za vitenzi vya silabi moja.
Njana Masanja
doaj   +1 more source

Juhudi za Kukabiliana na Kuangamia kwa Lugha za Kiafrika

open access: yes, 2019
Dhana ya kuhatarishwa kwa lugha imejadiliwa ndani ya muktadha wa dhana ya kufa kwa lugha. Hivyo, makala yamezijadili sababu mbalimbali zinazipelekea lugha, kuhatarishwa, na hatimaye kufa.
Obuchi, S. M.
core  

KISWAHILI KWA KUFUNDISHIA: SERA NA MIKAKATI

open access: yes, 2011
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala yanaeleza kuwa matatizo wanayopata wanafunzi yanatokana na ukosefu wa msingi imara wa sarurufi ya lugha ya Kiingereza, ambayo hutumiwa kufundishia.
Y.S.M Mochiwa, Mochiwa, Y.S.M
core   +1 more source

Kudele kwa Maswadzi Dzanari

open access: yes, 1938
Kudele kwa Maswadzi Dzanari by P. Ngwana (written in Venda).
Ngwana, P.
core  

Uhakiki wa Itikadi Zilizofumbatwa Kijazanda kwenye Nyimbo za Kiasili za Kikamba

open access: yesJournal of Kiswahili and Other African Languages
Makala haya yanachunguza itikadi zilizofumbatwa kijazanda katika nyimbo za kiasili za Kikamba. Lengo kuu la makala ni kuhakiki itikadi za Wakamba zinazofumbatwa kijazanda kwenye nyimbo teule. Uchunguzi huu ni wa kithamano.
Elizabeth K. Mue   +2 more
doaj   +1 more source

Tathmini ya Matumizi ya Istilahi za Kitehama kwa Wazungumzaji wa Kiswahili: Mifano Kutoka kwa Watumiaji wa Simu nchini Tanzania

open access: yes, 2022
Makala haya yanaangazia hali ya matumizi na kukubalika kwa istilahi za kitehama za Kiswahili za simu za mkononi miongoni mwa wazungumzaji wa Kiswahili nchini Tanzania.
Malangwa, Pendo S., Nyangaywa, Majura
core  

Comparative effectiveness of homemade CPR devices vs. standardized training with a commercial mannequin

open access: yesInternational Journal of First Aid Education
Clinical Scenario: High-quality compression-only CPR training improves survival from out-of-hospital cardiac arrests. Traditional manikin-based training is effective but limited by cost and accessibility.
Hayden Lloyd   +2 more
doaj   +2 more sources

Home - About - Disclaimer - Privacy