Results 81 to 90 of about 11,620 (230)

Epistemolojia ya Waafrika katika Semi Zilizoandikwa kwenye Vazi la Kanga za Waswahili

open access: yesJournal of Kiswahili and Other African Languages
Epistemolojia ya Waafrika, wakiwamo Waswahili hubainika kupitia sanaa inayobeba mitazamo inayozingatiwa katika jamii yao. Moja kati ya mambo yanayobainisha sanaa ya Waswahili ni vazi la kanga.
Martina Duwe
doaj   +1 more source

Wearable Activity Data Demonstrate an Association Between Sinus Surgery and Improved Real‐World Activity

open access: yes
International Forum of Allergy &Rhinology, Volume 16, Issue 6, Page 643-645, June 2026.
Cole L. Bird   +6 more
wiley   +1 more source

Uchanganuzi wa Maadili kwa Watoto kwa Mujibu wa Fasihi ya Watoto katika Riwaya za Wema Kasande na Kivuli cha Madhila

open access: yes
Maadili ni kiungo bora katika maisha ya binadamu kutoka utotoni hadi utu uzima. Utafiti huu ulikusudia kuchanganua maadili miongoni mwa watoto katika fasihi ya watoto jinsi inavyojitokeza katika riwaya ya Wema Kasande (2022) iliyoandikwa na Paul Nganga ...
Murimi, Jackline Njeri   +1 more
core   +1 more source

The Component Kwa- in Zulu Placenames Derived from Khoisan

open access: yesNames, 2009
The prefix Kwa occurs in many Zulu placenames, indicating “the place of,” frequently referring to a person or personified feature. In composite placenames derived from Khoisan but adapted into the Zulu phonological and orthographic system, the component ...
Peter E Raper
doaj   +1 more source

Influences on happiness and subjective well-being of entrepreneurs and labour: Kwazulu-Natal case study

open access: yesSouth African Journal of Economic and Management Sciences, 2015
Globally, individuals seek happiness, but not everybody is happy.  Economic reasoning suggests that rising incomes with expansions in GDP enhance the quality of life and subjective well-being.
Darma Mahadea, Shaun Ramroop
doaj   +1 more source

Mtagusano wa Vipengele vya Utandawazi na Vipengele vya Falsafa ya Ubuntu katika Riwaya Teule za Kisasa za Kiswahili

open access: yesJournal of Kiswahili and Other African Languages
Riwaya za kisasa ni zile zilizoandikwa katika zama za utandawazi na huakisi maisha, changamoto, na mitazamo ya dunia ya sasa. Tofauti na riwaya zisizo za kisasa au za mwanzo zinazosawiri mfumo wa maisha unaowaunganisha Waafrika kuishi kwa umoja na ...
Bakita Malindi, Anna Kyamba
doaj   +1 more source

Dhana ya Utendaji na Usambaaji wa Nyimbo kwa Wakati: Mifano kutoka Nyimbo za Kiswahili

open access: yes, 2019
Nyimbo ni mpangilio maalumu wa maneno fasaha, yanayoimbwa na mtu mmoja au kikundi katika shughuli mbalimbali. Nyimbo hizo hubeba dhima ya kuelimisha jamii kwa kuwa hutumika kutoa mafunzo mbalimbali kwa jamii. Tunapoziangalia nyimbo za Kiswahili, hatuwezi
Mrikaria, Steven Elisamia
core   +1 more source

Effects of fines on liquefaction behaviour in well-graded materials

open access: yes
This study uses a critical state soil mechanics perspective to understand the mechanics behind the liquefaction of metallic ores during transport by ship.
Airey, David, Kwa, Katherine
core   +1 more source

Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu

open access: yes, 2011
Mradi wa ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili sanifu ulitekelezwa katika kipindi 2004-2005. Malengo ya mradi yalikuwa: (1) kuandaa istilahi za kompyuta kwa Kiingereza-Kiswahili, na (2) kutafsiri programu nne za kawaida za Office ...
Kulikoyela Kahigi, Kahigi, Kulikoyela
core   +1 more source

Jikimu kimaisha kwa kufuga samaki

open access: yes, 2016
Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la kujikimu kimaisha kupitia ufugaji wa samaki.
Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
core  

Home - About - Disclaimer - Privacy